MOMBASA-Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira wa Wavu ya wanawake imeendeleza ubabe katika mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki baada ya kuifunga timu Bunge la Uganda kwa Seti 3-2.
Timu hizo zimekutana katika Michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya hiyo yanayoendelea Mombasa Kenya