HomeHabari Wabunge wa Tanzania wapoteza dhidi ya Rwanda MOMBASA-Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira wa Wavu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Rwanda kwa kuruhusu kufungwa kwa Seti 3-1.Timu hizo zimekutana katika Mashindano ya Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea Mombasa, Kenya. Tags Habari Michezo Wabunge Afrika Mashariki Facebook Twitter