HomeAfrika Mashariki Wabunge wa Tanzania wawanyoosha Wakenya mpira wa wavu Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira wa Wavu Wanaume imeibuka kidedea katika mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kupata ushindi wa Seti 3-1.Timu hizo zimekutana katika Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Mombasa, Kenya. Tags Afrika Mashariki Habari Mabunge Afrika Mashariki Michezo Facebook Twitter