Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Robert Makaramba akitoa mada kuhusu uelewa wa jumla wa sheria zinazosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania wakati wa mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa Idara ya Madai, ndugu Mark Mulwambo akitoa salamu za Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa niaba ya Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratubu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.

Baadhi ya Mawakili wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa na Kamati ya maandalizi baada ya kufungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Baadhi ya Mawakili wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Baadhi ya Mawakili wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa na Mawakili wa Serikali wa Wizara na taasisi mbalimbali za Serikali baada ya kufungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa na Mawakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wa Ofisi ya Dar es Salaam baada ya kufungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa na Mawakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wa Ofisi za Mikoa baada ya kufungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Setikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa na Mawakili wa Serikali Wafawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, baada ya kufungua mafunzo kwa mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa na baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratubu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Tags
Dkt.Ally Possi
Habari
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Wakili Mkuu wa Serikali