Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akisisitiza jambo kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari wakati wa sherehe za kuwaapisha Mawakili wa Kujitegemea jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akitambulishwa wakati wa sherehe ya kuapisha Mawakili wa Kujitegemea iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama nyuma wa nne kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma (aliyeketi katikati) baada sherehe ya kuwaapisha Mawakili wa Kujitegemea iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifuatilia sherehe za kuapishwa kwa Mawakili wa Kujitegemea iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Tags
Dkt.Ally Possi
Habari
Mawakili wa Kujitegemea
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Wakili Mkuu wa Serikali