Waziri Ridhiwani Kikwete awakabidhi tiketi vijana 26 wanaokwenda kwenye programu ya masomo nje

DAR-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, leo amewakabidhi tiketi za safari kwa vijana 26 kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini wanaokwenda kwenye programu ya mafunzo kwa vitendo katika nchi za Ujerumani, Sweden, na Denmark, inayowezeshwa na Taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Ushirika wa Wajasiriamali Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUGECO).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news