ZANZIBAR-Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita leo ametembelea mazoezi ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes,) kucheza kizalendo na kufuata maelekezo yanayotolewa na viongozi wao.
Waziri Tabia amewaombea dua ya mafanikio vijana hao ili kombe libaki Zanzibar na imani yake kwamba vijana hao wanauwezo mkubwa wakulibakisha kombe nyumbani.