ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi kesho tarehe 20, Disemba 2024 saa 3 asubuhi ataweka Jiwe la Msingi katika ujenzi wa barabara za juu FLYOVER, eneo la Mwanakwerekwe, Wilaya ya Magharibi 'B' , Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja;