ZANZIBAR-Shirikisho pa Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) limefanya mabadiliko madogo katika Idara yake ya Habari na Mawasiliano.
"Hivyo, ZFF imemteua ndugu Issa Said Chiwile kuwa Kaimu Afisa Habari akichukua nafasi ya ndugu Mohamed Said Kabwanga aliyekuwa Afisa Habari wa ZFF, ambaye kwa sasa atapangiwa majukumu mengine.