Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi akicheza mpira. Kupitia Serikali ya Awamu ya Nane, Mheshimiwa Rais Dkt.Mwinyi ametoa kipaumbele kikubwa katika michezo mbalimbali ikiwemo uwekezaji katika miundombinu ya michezo kote Unguja na Pemba. (Picha na Maktaba).