CAF yaifungia Simba SC kuingiza mashabiki Jumapili

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeifungia klabu ya Simba SC kuingiza mashabiki kwenye mechi yao ya mwisho ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Constantine Jumapili hii Januari 19, 2025.
Ni kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mchezo dhidi ya SC Sfaxien ya Tunisia uliopigwa Desemba 2024, hivyo mechi dhidi ya SC Constantine itachezwa bila mashabiki katika dimba la Benjamin Mkapa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news