HomeCAF CAF yawapa nafasi waamuzi wa Tanzania WAAMUZI wa Tanzania,Ahmed Arajiga na Frank Komba wapo kwenye orodha iliyotolewa na CAF ya Waamuzi watakaochezesha Fainali za Mataifa Bingwa barani Afrika (CHAN) zitakazofanyika Februari 1 hadi 28, 2025 Tanzania, Kenya na Uganda. Tags CAF CHAN 2025 Habari Michezo Facebook Twitter