MARA-Kamati ya Utendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Serengeti wamemvua Uongozi Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi kwa kile kinachoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu dhidi ya viongozi wa chama hicho Taifa.