DAR-Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Meendeleo (CHADEMA) limewapitisha Freeman Mbowe, Odero Charles Odero na Tundu Lissu kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa katika mkutano Mkuu uliopangwa kufanyika Januari 21,2025.
Pia, Baraza limefanya uteuzi wa wagombea wa nafasi za makamu Mwenyekiti Bara na Zanzibar.