Chuo cha Furahika Education College chatangaza ajira za kutosha, tazama hapa na uombe haraka

CHUO CHA FURAHIKA EDUCATION COLLEGE KINAWATANGAZIA NAFASI ZA KAZI ZA SECRETARY KWA WATU WATATU NA MWALIMU WA KOZI YA HOTEL MANAGEMENT KWA WANAWAKE WANAHITAJIKA WATAT

WENYE VIGEZO VIFUATAVYO: -

KWA NAFAZI YA SECRETARY ANATAKIWA AWE AMEFAULU KWENYE MASOMO YAFUATAYO:-

1. HATIMKATO

2. SHORTHAND

3. OFFICE PRACTICE

4. SECRETARIAL DUTIES

5. TYPING SPEED

6. BUSINESS ENGLISH

KWA MWALIMU WA KOZI YA HOTEL MANAGEMENT AWEZE KUFUNDISHA MASOMO YAFUATAYO:

1. FRONT OFFICE

2. FOOD AND BEVERAGE SERVICE

3. FOOD PRODUCTION

4. HOUSEKEEPING

NA NAFASI YA MHASIBU AMBAYE AMESOMA KATIKA CHUO KINACHOTAMBULIKA NA SERIKALI: 

VIGEZO: 

1. AWE AMEHITIMU NGAZI YA CHETI
2. AWE AMEFAULU KOZI IFUATAZO:- 

a. BOOKEPING 

b. ACCOUNTING

c. FINANCE 

NA MASOMO YA ACCOUNTING:

NAFASI HIZI ZINAOMBWA KUANZIA TAREHE 26/01/2025 MPAKA TAREHE 01/02/2025.

BARUA ZIELEKEZWE KWA SANDUKU:
MKUU WA CHUO,
CHUO CHA FURAHIKA,
S.L.P 20950,
DAR ES SALAAM.

MAOMBI YOTE YATUMWE KWA NJIA YA EMAILS:

info@furahikaeducation.ac.tz
au
educationmaendeleo@gmail.com

CHUO KIPO NDANI YA CHUO CHA ST. JOHN'S (BUGURUNI MALAPA)

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news