Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpongeza Rais wa Ghana,Mhe. John Dramani Mahama mara baada ya kuapishwa katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Independence Square jijini Accra nchini Ghana leo Januari 7,2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Independence Square Jijini Accra nchini Ghana kuhudhuria uapisho wa Rais Mteule wa Ghana Mhe. John Dramani Mahama leo Januari 7,2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Uapisho wa Rais Mteule wa Ghana, Mhe. John Dramani Mahama uliyofanyika katika Uwanja wa Independence Square jijini Accra nchini Ghana leo Januari 7,2025.

Rais Mteule wa Ghana, Mhe. John Dramani Mahama akiapa kuwa Rais wa Taifa hilo katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Independence Square jijini Accra nchini Ghana leo Januari 7, 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpongeza Rais wa Ghana Mhe. John Dramani Mahama mara baada ya kuapishwa katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Independence Square jijini Accra nchini Ghana leo Januari 7,2025.