ZANZIBAR-Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Afisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo Januari 14, 2025.