Dkt.Mwinyi ashiriki Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa

DODOMA-Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi, akishiriki Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo Januari 18, 2025.
Mkutano huo umefunguliwa leo na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news