DODOMA-Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki vikao vya kawaida vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi vikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichofanyika jijini Dodoma tarehe 17 Januari, 2025.