Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 2,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2362.93 na kuuzwa kwa shilingi 2386.56 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7674.84 na kuuzwa kwa shilingi 7736.51.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 2, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2960.75 na kuuzwa kwa shilingi 2992.03 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.69 na kuuzwa kwa shilingi 1.74.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1642.86 na kuuzwa kwa shilingi 1658.71 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2609.53 na kuuzwa kwa shilingi 2635.33.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 214.57 na kuuzwa kwa shilingi 216.35 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 125.32 na kuuzwa kwa shilingi 126.51.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 643.39 na kuuzwa kwa shilingi 649.65 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 151.63 na kuuzwa kwa shilingi 152.97.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2455.79 na kuuzwa kwa shilingi 2480.83.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1464.78 na kuuzwa kwa shilingi 1580.62 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3081.86 na kuuzwa kwa shilingi 3112.38.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.38 na kuuzwa kwa shilingi 18.56 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.27 na kuuzwa kwa shilingi 1.36.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.80 na kuuzwa kwa shilingi 0.80.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 2nd,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED643.3945649.6516646.52302-Jan-25
2ATS151.6293152.9728152.301102-Jan-25
3AUD1464.78071480.62181472.701302-Jan-25
4BEF51.722252.180151.951202-Jan-25
5BIF0.80260.79550.799102-Jan-25
6BWP169.1858171.5937170.389802-Jan-25
7CAD1642.86361658.71561650.789602-Jan-25
8CHF2609.53142635.33572622.433602-Jan-25
9CNY323.7202326.9529325.336502-Jan-25
10CUC98.455499.4498.947702-Jan-25
11DEM946.80081076.2391011.519902-Jan-25
12DKK329.3788332.5706330.974702-Jan-25
13DZD17.484917.5417.512502-Jan-25
14ESP12.540112.650712.595402-Jan-25
15EUR2455.79392480.82912468.311502-Jan-25
16FIM350.9164354.026352.471202-Jan-25
17FRF318.0813320.895319.488102-Jan-25
18GBP2960.75222992.03032976.391202-Jan-25
19HKD304.2661307.3048305.785502-Jan-25
20INR27.612427.870627.741502-Jan-25
21IQD1.80511.82041.812802-Jan-25
22IRR0.05630.05680.056502-Jan-25
23ITL1.07761.08711.082302-Jan-25
24JPY15.063915.213615.138802-Jan-25
25KES18.338618.379418.35902-Jan-25
26KRW1.60531.61811.611702-Jan-25
27KWD7674.84317736.51457705.678802-Jan-25
28MWK1.26611.3631.314502-Jan-25
29MYR528.8565533.3095531.08302-Jan-25
30MZM36.668736.97836.823302-Jan-25
31NAD125.3544126.4805125.917402-Jan-25
32NGN1.54041.53581.538102-Jan-25
33NLG946.8008955.1971950.998902-Jan-25
34NOK208.5203210.2844209.402302-Jan-25
35NZD1325.36781339.57611332.47202-Jan-25
36PKR8.06328.56638.314702-Jan-25
37QAR648.3552654.5694651.462302-Jan-25
38RWF1.69181.74291.717402-Jan-25
39SAR629.192635.3148632.253402-Jan-25
40SDR3081.56773112.38343096.975502-Jan-25
41SEK214.5583216.3503215.454302-Jan-25
42SGD1733.87931750.3191742.099202-Jan-25
43TRY66.816667.47667.146302-Jan-25
44UGX0.61740.64780.632602-Jan-25
45USD2362.93072386.562374.745302-Jan-25
46GOLD6170320.91886233098.086201709.499402-Jan-25
47ZAR125.3212126.5073125.914202-Jan-25
48ZMK82.521885.770484.146102-Jan-25
49ZWD0.44220.45110.446602-Jan-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news