Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 14,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1693.99 na kuuzwa kwa shilingi 1710.57 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2666.49 na kuuzwa kwa shilingi 2691.99.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 14, 2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 216.57 na kuuzwa kwa shilingi 218.70 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.64 na kuuzwa kwa shilingi 128.89.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 664.82 na kuuzwa kwa shilingi 671.37 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 156.68 na kuuzwa kwa shilingi 158.07.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2491.03 na kuuzwa kwa shilingi 2516.19.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1501.89 na kuuzwa kwa shilingi 1517.69 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3167.71 na kuuzwa kwa shilingi 3199.38.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.89 na kuuzwa kwa shilingi 19.01 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.31 na kuuzwa kwa shilingi 1.41.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2441.71 na kuuzwa kwa shilingi 2466.13 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7908.12 na kuuzwa kwa shilingi 7984.62.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2959.84 na kuuzwa kwa shilingi 2990.43 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.73 na kuuzwa kwa shilingi 1.79.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.82 na kuuzwa kwa shilingi 0.82.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 14th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED664.8277671.3663668.09714-Jan-25
2ATS156.6848158.0731157.378914-Jan-25
3AUD1501.89761517.65641509.77714-Jan-25
4BEF53.446753.919853.683314-Jan-25
5BIF0.82880.8220.825414-Jan-25
6BWP171.6524175.3418173.497114-Jan-25
7CAD1693.9871710.57091702.278914-Jan-25
8CHF2666.49872691.98782679.243214-Jan-25
9CNY333.0259336.3516334.688814-Jan-25
10CUC101.738102.7554102.246714-Jan-25
11DEM978.36791112.12181045.244914-Jan-25
12DKK333.9414337.2209335.581114-Jan-25
13DZD18.010918.001818.006314-Jan-25
14ESP12.958213.072513.015414-Jan-25
15EUR2491.03552516.19242503.61414-Jan-25
16FIM362.6163365.8295364.222914-Jan-25
17FRF328.6864331.5939330.140214-Jan-25
18GBP2959.84432990.42922975.136814-Jan-25
19HKD313.5788316.678315.128414-Jan-25
20INR28.172528.436228.304414-Jan-25
21IQD1.86531.88111.873214-Jan-25
22IRR0.05810.05870.058414-Jan-25
23ITL1.11351.12341.118414-Jan-25
24JPY15.557315.708815.633114-Jan-25
25KES18.891419.006818.949114-Jan-25
26KRW1.66381.67921.671514-Jan-25
27KWD7908.12567984.62097946.373214-Jan-25
28MWK1.30831.40841.358414-Jan-25
29MYR541.6399546.5714544.105714-Jan-25
30MZM37.90338.222738.062914-Jan-25
31NAD127.6779128.8671128.272514-Jan-25
32NGN1.58621.58151.583914-Jan-25
33NLG978.3679987.0442982.706114-Jan-25
34NOK212.7576214.8216213.789614-Jan-25
35NZD1356.61571370.92171363.768714-Jan-25
36PKR8.3298.84878.588814-Jan-25
37QAR669.8801676.3006673.090314-Jan-25
38RWF1.74411.79671.770414-Jan-25
39SAR650.4123656.8465653.629414-Jan-25
40SDR3167.7073199.3843183.545514-Jan-25
41SEK216.5695218.7003217.634914-Jan-25
42SGD1777.861794.98511786.422514-Jan-25
43TRY68.783269.466369.124714-Jan-25
44UGX0.63460.66580.650214-Jan-25
45USD2441.71292466.132453.921414-Jan-25
46GOLD6517224.6596583629.97066550427.314814-Jan-25
47ZAR127.6459128.8954128.270714-Jan-25
48ZMK85.813889.19187.502414-Jan-25
49ZWD0.45690.46620.461514-Jan-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news