Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 6,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.35 na kuuzwa kwa shilingi 18.46 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.27 na kuuzwa kwa shilingi 1.36.
MUHIMU

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi kitakachowasilishwa katika zoezi linaloanza leo Januari 6, 2025 hadi Aprili 5, 2025.

Zoezi la kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani linahusisha shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1,000), elfu mbili (2,000), elfu tano (5,000), elfu kumi (10,000) kwa matoleo ya mwaka 1985 hadi 2003 pamoja na noti ya shilingi mia tano (500) iliyotolewa mwaka 2010.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 6, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2367.45 na kuuzwa kwa shilingi 2391.13 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7674.58 na kuuzwa kwa shilingi 7747.56.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2937.54 na kuuzwa kwa shilingi 2967.87 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.68 na kuuzwa kwa shilingi 1.72.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1644.07 na kuuzwa kwa shilingi 1660.28 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2605.03 na kuuzwa kwa shilingi 2629.93.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 213.26 na kuuzwa kwa shilingi 215.33 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.38 na kuuzwa kwa shilingi 127.44.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 644.62 na kuuzwa kwa shilingi 650.95 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 151.92 na kuuzwa kwa shilingi 153.26.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2438.05 na kuuzwa kwa shilingi 2462.86.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.80 na kuuzwa kwa shilingi 0.80.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1472.56 na kuuzwa kwa shilingi 1588.00 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3087.47 na kuuzwa kwa shilingi 3118.34.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 6th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED644.609650.9487647.778906-Jan-25
2ATS151.9197153.2658152.592706-Jan-25
3AUD1472.55731488.00021480.278706-Jan-25
4BEF51.821352.2852.050606-Jan-25
5BIF0.8040.7970.800506-Jan-25
6BWP169.5098172.8787171.194306-Jan-25
7CAD1644.06631660.27641652.171306-Jan-25
8CHF2605.03462629.92742617.48106-Jan-25
9CNY323.5068326.7285325.117706-Jan-25
10CUC98.64499.630499.137206-Jan-25
11DEM948.61381078.29991013.456806-Jan-25
12DKK326.8521330.0979328.47506-Jan-25
13DZD17.47917.47917.47906-Jan-25
14ESP12.564112.67512.619506-Jan-25
15EUR2438.00562462.86392450.434806-Jan-25
16FIM351.5884354.7039353.146106-Jan-25
17FRF318.6904321.5094320.099906-Jan-25
18GBP2937.53872967.87062952.704606-Jan-25
19HKD304.3237307.3629305.843306-Jan-25
20INR27.605327.863527.734406-Jan-25
21IQD1.80861.82391.816206-Jan-25
22IRR0.05640.05690.056606-Jan-25
23ITL1.07961.08921.084406-Jan-25
24JPY15.068815.218515.143606-Jan-25
25KES18.352418.464318.408306-Jan-25
26KRW1.61241.62651.619406-Jan-25
27KWD7674.58337747.56187711.072506-Jan-25
28MWK1.26851.36561.31706-Jan-25
29MYR526.4522531.0082528.730206-Jan-25
30MZM36.750337.060336.905306-Jan-25
31NAD126.3519127.4861126.91906-Jan-25
32NGN1.54381.53921.541506-Jan-25
33NLG948.6138957.0262952.8206-Jan-25
34NOK208.3239210.3368209.330406-Jan-25
35NZD1326.95881341.18481334.071806-Jan-25
36PKR8.07868.58278.330606-Jan-25
37QAR649.5077655.8228652.665206-Jan-25
38RWF1.68261.7241.703306-Jan-25
39SAR630.5144636.65633.582206-Jan-25
40SDR3087.46863118.34323102.905906-Jan-25
41SEK213.2574215.3356214.296506-Jan-25
42SGD1728.3221745.09561736.708806-Jan-25
43TRY66.981267.631867.306506-Jan-25
44UGX0.61930.64980.634506-Jan-25
45USD2367.45542391.132379.292706-Jan-25
46GOLD6288932.32016352515.0716320723.695506-Jan-25
47ZAR126.3782127.4379126.90806-Jan-25
48ZMK82.531285.780484.155806-Jan-25
49ZWD0.4430.452

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news