Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 7,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1494.65 na kuuzwa kwa shilingi 1510.32 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3085.57 na kuuzwa kwa shilingi 3116.42.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 7, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.41 na kuuzwa kwa shilingi 18.53 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.27 na kuuzwa kwa shilingi 1.37.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2376.24 na kuuzwa kwa shilingi 2400 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7712.05 na kuuzwa kwa shilingi 7786.74.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2979.80 na kuuzwa kwa shilingi 3010.56 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.69 na kuuzwa kwa shilingi 1.73.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1660.77 na kuuzwa kwa shilingi 1679.61 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2636.75 na kuuzwa kwa shilingi 2661.64.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 216.06 na kuuzwa kwa shilingi 218.16 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.55 na kuuzwa kwa shilingi 129.81.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 647.00 na kuuzwa kwa shilingi 653.36 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 152.48 na kuuzwa kwa shilingi 153.83.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2475.33 na kuuzwa kwa shilingi 2500.56.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.80 na kuuzwa kwa shilingi 0.80.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 7th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED647.0002653.3635650.181807-Jan-25
2ATS152.4832153.8343153.158807-Jan-25
3AUD1494.65351510.321502.486707-Jan-25
4BEF52.013552.473952.243707-Jan-25
5BIF0.80690.80.803507-Jan-25
6BWP170.8515174.48172.665707-Jan-25
7CAD1660.77551676.91451668.84507-Jan-25
8CHF2636.74842661.63912649.193707-Jan-25
9CNY324.8001327.9629326.381507-Jan-25
10CUC99.009910099.50507-Jan-25
11DEM952.13271082.29991017.216307-Jan-25
12DKK331.9231335.1674333.545307-Jan-25
13DZD17.651317.641417.646407-Jan-25
14ESP12.610712.72212.666307-Jan-25
15EUR2475.32672500.562487.943407-Jan-25
16FIM352.8926356.0197354.456207-Jan-25
17FRF319.8726322.7021321.287307-Jan-25
18GBP2979.8023010.562995.18107-Jan-25
19HKD305.7277308.781307.254307-Jan-25
20INR27.765628.025327.895407-Jan-25
21IQD1.81531.83071.82307-Jan-25
22IRR0.05660.05710.056907-Jan-25
23ITL1.08361.09321.088407-Jan-25
24JPY15.167215.317815.242507-Jan-25
25KES18.406218.532818.469507-Jan-25
26KRW1.63231.64641.639407-Jan-25
27KWD7712.05257786.64597749.349207-Jan-25
28MWK1.27321.37061.321907-Jan-25
29MYR527.1157531.6792529.397507-Jan-25
30MZM36.715737.025636.870607-Jan-25
31NAD128.5516129.816129.183807-Jan-25
32NGN1.55061.54591.548207-Jan-25
33NLG952.1327960.5763956.354507-Jan-25
34NOK211.4994213.5345212.516907-Jan-25
35NZD1348.51491362.721355.617407-Jan-25
36PKR8.10428.6138.358607-Jan-25
37QAR651.917658.2556655.086307-Jan-25
38RWF1.68651.73411.710307-Jan-25
39SAR632.8196639.0797635.949707-Jan-25
40SDR3085.57013116.42583100.997907-Jan-25
41SEK216.0609218.162217.111407-Jan-25
42SGD1748.26191765.09521756.678607-Jan-25
43TRY67.275967.929467.602607-Jan-25
44UGX0.61890.64940.634107-Jan-25
45USD2376.237624002388.118807-Jan-25
46GOLD6285243.564463491046317173.782207-Jan-25
47ZAR128.546129.8062129.176107-Jan-25
48ZMK82.688885.944584.316707-Jan-25
49ZWD0.44470.45370.449207-Jan-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news