DAR-Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limepitisha wanachama wapya 23 kutoka vyombo vya habari na taasisi mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile imesema kuwa, wanachama hao wamepitishwa katika mkutano mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana jijini Dar es Salaam.