Mtihani wa Kidato cha Nne, unaojulikana rasmi kama Certificate of Secondary Education Examination (CSEE), hufanyika kila mwaka katika wiki ya kwanza ya Novemba. Hii ni hatua ya mwisho kwa wanafunzi waliokamilisha miaka minne ya elimu ya sekondari.
Aidha,matokeo ya mtihani huu hutumika kama kipimo cha kukidhi vigezo vya kujiunga na kidato cha tano, kujiunga na kozi za stashahada, au kufungua fursa nyinginezo za kitaaluma na kiufundi kwa wahitimu.Bofya hapa kwa matokeo yote>>>
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2024 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES
Bonyeza jina la shule chini; |