LUANDA-Kikosi cha Simba leo saa 1:00 usiku kinatarajia kushuka kwenye Uwanja wa Novemba 11, Luanda nchini Angola kufanya kile ilichokifanya miaka 31 iliyopita ilipofanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya Kombe la CAF, ambalo sasa linaitwa Kombe la Shirikisho, dhidi ya Atletico Spotivo Aviacao, ikiwa ugenini.
Simba itacheza mechi ya raundi ya tano, Kombe la Shirikisho barani Afrika hatua ya makundi dhidi ya Bravos do Maquis ya nchini humo katika mchezo ambao inahitaji ushindi au sare ili kufuzu hatua ya robo fainali kutoka Kundi A.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo
Gazeti la Dira michezo Simba na Yanga haziwanii kufuzu kwa hatua ya 16 bora, zinawania kufuzu kwa robo fainali, makundi zilimo ndio 16 bora
ReplyDelete