DODOMA-Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wasira amesema hakuwa na wasiwasi na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu baada ya Halimashauri Kuu ya CCM Taifa kumteua kuwania nafasi hiyo akisema zaidi ya nusu ya wajumbe amewahi kusema nao katika kipindi cha muda wake akiwa mwanachama wa CCM.
Wajumbe 1,900 wamempigia kura kushika nafasi hiyo huku wajumbe saba wakionesha wasiwasi. "Mimi nawashukuru hata hao saba ambao hawakunichagua naimani wakinifahamu watanielewa," alisema Wasira muda mfupi baada ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo