DAR-Bodi ya Ligi Kuu Tanzania jana Januari 20, 2025, imetoa ratiba inayoonesha mchezo wa Kariakoo Derby utapigwa Machi 8, 2025, katika Dimba la Benjamin Mkapa.
Mchezo huo wa Derby, Wananchi Yanga SC watakuwa wenyeji wakiwakaribisha Simba SC, ambapo utachezwa saa moja na robo usiku.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo