NAITWA Chris kutokea Nandi, Mke wangu hakuwa na kazi yoyote lakini alikuwa tayari kahitimu Chuo Kikuu, na mara nyingi alikuwa akifanya majaribio mbalimbali ya kutafuta kazi bila mafanikio.
Licha ya hayo yote, nilikuwa nampenda na kumdhamini ajabu mke wangu kwani nilikuwa tayari kumfanyia lolote, mshahara wangu haukuwa mkubwa, hivyo nilikuwa najinyima ili kumfurahisha mke wangu.
Hali ile iliweza kufanya penzi letu hata kunawiri zaidi, yeye pia alikuwa ni mtu mvumilivu, ama kwa hakika ndoa yetu ilikuwa yenye mapenzi na furaha kila mara, nilifanya kila juhudi kuhakikisha kwamba mke wangu siku moja anapata kazi nzuri.
Jambo hilo lilinifanya kuanza shughuli ya kumtafutia ajira katika kampuni ambazo zilitaka watu wenye sifa kama zake, kutafuta kazi ilikuwa ngumu mara nyingi kwani kila mara nilikuwa nazunguka bila mafanikio.
Baadhi ya Mameneja katika kampuni walitaka niwahonge ili waweze kunipa nafasi ya kazi lakini kwa hakika wakati ule sikuwa na lolote la kuhongana, nilitegemea imani yangu kwamba siku moja mke wangu atafanikiwa.
Baada ya muda mrefu wa kuhangaika alipata ajira ya hoteli kubwa mjini, mshahara wa ajira ile ulikuwa mkubwa kuzidi wangu.
Mara alianza kuwa na madharau madogo madogo pale nyumbani na hata mara nyingi alikuwa anachelewa kuruka nyumbani.
Alianza hata kuniambia niwe nafanya shughuli pale nyumbani kama kupika ilihali yeye alikuwa kajiliwaza tu katika kochi huku macho yake yakiwa kwenye runinga.
Sikuwa mtu mwenye furaha kwani hali ile iliniponza kabisa kama mume na kichwa cha familia.
Siku moja nilienda kazini na kurejea nyumbani kama kawaida, mke wangu hakurejea nyumbani kama ilivyokuwa kawaida yake jambo lililonitia wasiwasi kama mume wake. Nilipojaribu kumpigia simu namba yake ilikuwa bize.
Hilo ilikuwa ishara tu alikuwa keshapata mwanaume mwingine. Nilibaki nimechamganyikiwa kwa kuwa nilikuwa na mapezi ya dhati kwake.
Kupitia kwa rafiki yangu, niliweza kujua Dr Bokko ambapo niliweza kumpigia simu kwani nilikuwa na uchu wa kumpata mke wangu alipokuwa.
Dr Bokko alifanya matambiko yake ya kiasilia ya kurejesha wapenzi kwenye mahusiano yetu, alinieleza kwamba mke wangu angejileta mwenyewe kwani hakuwa mbali.
Siku moja baada ya kurejea nyumbani mlango wa nyumba nyangu uligongwa, nilipofungua alikuwa mke wangu aliyekuwa akilia kwa uchungu.
Nilimsamehe na tangu siku ile tumekuwa tukiishi kwa amani na upendo. Asante sana Dr Bokko kwa usaidizi wako wa kweli.
Dr Bokko hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo.
Husuluhisha shida za kifamilia kama kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha haswa katika michezo ya kamari na mengineyo.
Ukiona mambo hayaendi kama unavyotaka, basi usisite kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050, mtaalamu huyu amesaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa miaka mingi sasa.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo