PWANI-Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo