MWANZA-Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amechukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa huku akitangaza kuwa huu ni mwisho wa utawala wa Mwenyekiti wa sasa wa Chama hicho, Freeman Mbowe.
Heche ametoa kauli hiyo Januari 5,2025 akiwa mjini Mwanza alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Kamati Kuu, wanachama wa CHADEMA, pamoja na waandishi wa habari kuhusu dhamira yake ya kuwania nafasi hiyo.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo