Majaliwa mgeni rasmi Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Katavi

KATAVI-Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 26, 2025 amewasili Mpanda mkoani Katavi ambapo atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM jambo la Katavi unaofanyika katika viwanja vya TARURA.
Kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda amepokelewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Iddi Kimanta,Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwamvua Mrindoko na Mbunge wa jambo la Katavi Mhandisi Isaack Kamwele.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news