Mapunjo aipongeza PSSSF kwa safari ya mageuzi na mabadiliko chanya
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umepongezwakwa kuasisi safari ya mageuzi na mabadiliko makubwa ya kitaasisi na kiutendajina kukumbushwa kuwa inawezekana kuwa Mfuko bora Afrika na duniani kote.