DODOMA-Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari ameshiriki kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria.

Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kimefanyika tarehe 14 Januari, 2025 Bungeni jijini Dodoma.