Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wakuu wa nchi za Afrika katika picha ya pamoja katika Mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi hizo (Ajenda 300) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Januari 28, 2025 jijini Dar-es-Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Marais wa Nchi za Afrika, Wakuu wa Taasisi mbalimbali duniani kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala ya Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) tarehe 28 Januari, 2025.



