Rais Dkt.Mwinyi aongoza kikao cha Baraza la Mapinduzi kisiwani Pemba
ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Januari 11,2025 amengoza kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika, Pemba.Kikao cha Baraza la Mapinduzi cha kwanza kwa mwaka huu wa 2025.