Rais Dkt.Samia afanya mazungumzo na Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM)


Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM), Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mohammed Chande Othman na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 09 Januari 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 09 Januari 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anna Makinda na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 09 Januari 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news