Muonekano wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar leo Januari 7, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Mwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection Bw. Andrea Azzola wakati wa ufunguzi wa Hoteli Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar leo Januari 7, 2025.
Tags
Bawe Island the Cocoon Collection Hotel
Dr Samia Suluhu Hassan
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri