HomeBaraza la Mawaziri Rais Dkt.Samia aongoza Baraza la Mawaziri leo DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Januari 16, 2025. Tags Baraza la Mawaziri Dr Samia Suluhu Hassan Habari Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter