Rais Dkt.Samia awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani

DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Januari 22,2025 amewaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 22 Januari, 2025. Majaji walioapa ni :

▪️Mhe. Jaji George Mcheche Masaju.

▪️Mhe. Jaji Dkt. Ubena John Agatho.

▪️Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela.

▪️Mhe. Jaji Latifa Alhinai Mansoor.
Majaji wa Mahakama ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.
Majaji wa Mahakama ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news