Salamu za Heri ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutoka ofisi,wizara,taasisi,mashirika na wadau mbalimbali nchini
DIRAMAKINI inaungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi na Watanzania wote kuadhimisha Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Tuendelee kudumisha amani, upendo, umoja na mshikamano.