DAR-Mbunifu maarufu wa mavazi nchini Tanzania, Sheria Ngowi ameonesha nia ya kuomba kandarasi ya kubuni jezi za timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuelekea CHAN 2024 na AFCON 2027.
"Nikiwa kama mtanzania na mbunifu wa mavazi nina imani ya kuipa Taifa Stars mwonekano bora na wa kipekee unaoonyesha uzalendo wetu.Pia,kupitia bidhaa rasmi mashabiki wataweza kupata bidhaa bora vya timu yao;