NA DIRAMAKINI
MAZINGIRA bora ya uwekezaji chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan yameendelea kuvutia wawekezaji mbalimbali ikiwemo usafiri wa anga kupitia Sekta ya Utalii nchini.
Hayo yamebainika baada ya Januari 16,2025 Shirika la Ndege la Miracle Air kupokea ndege yake ya kwanza katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo Kisongo jijini Arusha.
Ndege hiyo aina ya Cessna Grand Caravan 208B EX inakuwa ya kwanza kwa shirika hilo ambalo linatarajia kuanza kutoa huduma kuanzia Januari 20,2025.
Cessna Grand Caravan 208B EX ni miongoni mwa ndege za kifahari ambazo zinatarajiwa kutoa huduma za kisasa kwa watu na watalii mbalimbali kuanzia Serengeti hadi Zanzibar na kwingineko nchini.
About Air Miracle
Miracle Air was established to provide a premium travel experience, saving travelers time and offering unmatched privacy, flexibility, and luxury in journeys to safari and beach destinations.
Inspired by the legacy of Miracle Experience, Miracle Air delivers a seamless journey designed for families and groups to explore Tanzania on their terms.
Miracle Air is part of a distinguished group of companies dedicated to enhancing Tanzania’s tourism, technology, and sustainable energy landscape under the leadership of Hasnain Sajan.
With a shared commitment to excellence, our group companies contribute specialized expertise, innovation, and service across multiple industries, collectively elevating the Tanzanian experience.
This synergy enables Miracle Air to deliver exceptional air travel experiences with uncompromising quality and purpose.
Soar above Africa’s most breathtaking landscapes with Miracle Air—your gateway to iconic destinations.
Experience the unparalleled comfort of our Cessna Grand Caravan 208, designed for luxury and scenic viewing.
Let our highly experienced pilots, with deep knowledge of Tanzania's treasures, guide you directly to remote safari parks like Serengeti, Ngorongoro Crater, and pristine beach escapes like Zanzibar.
With panoramic windows framing Mt. Kilimanjaro, Sero, and beyond, every moment is a journey of wonder and elegance.