Simba SC yawaombea uraia wachezaji tisa

DAR-Klabu ya Simba ya Dar es Salaam imewaombea uraia wa Tanzania wachezaji wake 9 ambao sio raia wa Tanzania kupitia barua ya iliyoandikwa kwa Kamishina Jenerali wa Uhamiaji tarehe 23 Januari 2025 ambayo imesainiwa na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Murtaza Ally Mangungu.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amethibitisha maombi hayo ikiwa ni saa chache baada ya Idara ya Uhamiaji kuwapatia wachezaji watatu wa Singida Black Stars uraia wa Tanzania baada ya wachezaji hao ambao ni Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana), Josephat Arthur Bada (Cote d'lvoire), na Muhamed Damaro Camara (Guinea) kuomba.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news