FAMILIA YA BIBI HABIBA MKAZI WA MSHIKAMANO MANISPAA YA SHINYANGA INATANGAZA KUPOTELEWA NA BINTI YAO, GLORY RAYMOND MWENYE UMRI WA MIAKA 14.
BINTI HUYU ANASOMA SHULE YA SEKONDARI UHURU YA MJINI SHINYANGA. AMETOWEKA NYUMBANI KWAO SIKU YA JUMATANO TAREHE 01/01/2025.
SIKU ALIYOPOTEA ALIKUWA AMEVAA SURUALI YA RANGI YA BLUU YA MAJI BAHARI NA BLAUZI YA KIJANI KIBICHI.
TUNAOMBA YEYOTE ATAKAYEMUONA AU KUSIKIA TAARIFA ZAKE ATOE TAARIFA KWA KUPIGA SIMU NAMBA 0622 215 192 AU KITUO CHOCHOTE CHA POLISI.
JALADA LA TAARIFA YA KUPOTEA KWA BINT HUYU IMETOLEWA KITUO CHA POLISI SHINYANGA KWA NAMBA SHI/RB/28/2025.
Tafadhali saidia kusambaza taarifa hii katika magroup mengine ya kijamii.