Tanzania yapangwa Kundi B michuano ya CHAN 2024

NAIROBI-Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limechezesha droo ya kupanga makundi ya michuano ya CHAN 2024 ambapo Tanzania imepangwa Kundi B na timu za Madagascar, Mauritania, Afrika ya Kati na Burkinafaso.
Michuano ya CHAN 2024 inachezwa kwa ushirikiano wa Tanzania, Uganda na Kenya na sasa imeahirishwa kutoka kuchezwa Februari mwaka huu hadi Agosti, 2025 kwa sababu ya kutoa muda zaidi wa maandalizi kwa mataifa wenyeji.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news