LUBUMBASHI-Tayari msafara wa wajumbe 37 wa Klabu ya TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakiwemo wachezaji 24 wameondoka mjini Lubumbashi kuja Dar es Salaam.
Msafara huo ambao umetumia ndege ya Air Tanzania unawasili nchini kwa ajili ya mchezo wao nne wa hatua ya makundi dhidi ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) utakaopigwa Januari 4,2025.
Ni katika Dimba la Benjamin Mkapa lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
MAKIPA
1. Aliou FATY
2. Ibrahim MOUNKORO
3. Siadi BAGGIO
MABEKI
4. Magloire NTAMBWE
5. Johnson ATIBU
6. Mortalla MBAYE
7. Josué MUNGWENGI
8. Abdallah RAJABU
9. Elie MADINDA
10. Ernest LUZOLO
11. Ibrahima KEITA
12. Madou ZON
VIUNGO
13. Boaz NGALAMULUME
14. Patient MWAMBA
15. Jean DIOUF
16. Bank's MBUNGU
17. Sozé ZEMANGA
18. Basile KONGA
WASHAMBULIAJI
19. Dylan LUMBU
20. Oscar KABWIT
21. Gloire MUJAYA
22. Cheikh FOFANA
23. Faveurdi BONGELI
24. Satala ASSANI