Mwinjilisti wa Kimataifa, Alphonce Temba ni miongoni mwa watumishi wa Mungu wachache ambao Mungu amewapa karama ya kipekee katika huduma.
Pia,amekuwa akitumia karama hiyo kutoa maonyo, kuombea na hata kubadili historia ya wote ambao wamekuwa wasikivu mbele za Mungu ndani na nje ya Tanzania.