"Kuomba ni utumwa na udhalilishaji, lakini kwa ajili ya ndugu zetu hawa acha nidhalilike," Steve Nyerere, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao akigawa pikipiki na viti mwendo (wheel chair) 100 kwa watu wenye mahitaji maalum, jijini Dar es Salaam.