MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent, anapenda kuwafahamisha wadau wote wa tasnia ya mbolea nchini-waingizaji, wazalishaji, wafanyabiashara wa mbolea, na wakulima kuwa bei elekezi za kuuzia mbolea ni zile zilizotangazwa na mamlaka tarehe 15 Novemba, 2024.
Bei hizi elekezi zinapatikana kupitia:
👉 Tovuti ya Wizara ya Kilimo:
👉 Tovuti ya TFRA:
Wafanyabiashara wote mnakumbushwa kuuza mbolea kwa bei elekezi iliyotolewa au chini yake.
Imetolewa na:
MAMLAKA YA UDHIBITI WA MBOLEA TANZANIA (TFRA)